TANGAZO LA MAFUNZO MAPYA

RIWADE COMPANY LIMITED Kampuni yenye uzoefu wa muda mrefu katika mafunzo ya vitalu nyumba(greenhouses) na Drip irrigation syste(umwagiliaji wa matone) wanakuletea mafunzo ya siku tano ya nadharia(theory) na vitendo(practical) yahusuyo greenhouse and drip irrigation system.

 

Mahali : Jengo la CCM Mkoa wa Morogoro(theory) na Kwenye mashamba yetu Mlali-Mvomero(Practical)

 

Muda : 04/04/2021 hadi 09/04/2021, kuanzia saa 2 asubuhi

 

Washiriki : Wastaafu, Wanafunzi, Wakulima ,Watumishi n.k

 

Gharama : Tsh 50,000

 

Washiriki watapatiwa;

  1. Mafunzo ya nadharia na vitendo
  2. Vitabu vya greenhouse na drip irrigation system vilivyothibitishwa na NACTE
  3. Chai ya asubuhi
  4. Usafiri wa kwenda na kurudi kituoni kwetu( shambani) kujifunza kwa vitendo
  5. Cheti cha kuhitimu mafunzo
  6. Kuunganishwa na masoko mbalimbali ya mbogamboga na matunda

 

UTARATIBU WA MALIPO:

Malipo yanafanyika bank

Jina la akaunti: RIWADE COMPANY LIMITED

Akaunti namba: 22110074376

Jina la Bank: NMB BANK

 

AU

FIKA OFISINI KWETU ULIPIE OFISINI

 

NOTE: Ukilipia bank tuma pay slip whatsaap kwenye namba 0763188907 kwa ajili usajili

 

KWA MAWASILIANO

Piga namba : 0763188907

Whatsaap : 0763188907

Email : info@riwade.co.tz

Website; www.riwade.co.tz

Tembelea:  Facebook /Instagram/Linkeldin /Twitter kwa jina la Riwade Company Limited

 

AU

 

FIKA OFISINI KWETU

JENGO LA CCM MKOA WA MOROGORO, BLOCK B, GHOROFA YA 2