MAFUNZO YAKIENDELEA

Mafunzo ya yahusuyo mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone (Drip irrigation system) yakiendelea katika kituo cha Mafunzo cha RIWADE COMPANY LIMITED, kilichopo kata ya Mlali Mkoani Morogoro,

Karibuni kwa mafunzo na huduma , piga 0763188907