MAFUNZO RIWADE

Wahitimu wa program ya kuendeleza ujuzi (SDF) wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji yanayofadhiliwa na Tanzania Education Authority (TEA) ,mafunzo haya yanaendeshwa na RIWADE COMPANY LIMITED, katika kituo cha Mafunzo Mlali, wilayani Mvomero ,Mkoani Morogoro

Kushiriki au kupata huduma tupigie 0763188907, Barua pepe : info@riwade.co.tz , Wavuti : www.riwade.co.tz